Mkataba mpya wa amani nchini Sudan Kusini wavunjika tena

Sauti 12:30
Salva Kiir na Riek Machar wakiwa katika Ikulu ya Juba mwaka 2016
Salva Kiir na Riek Machar wakiwa katika Ikulu ya Juba mwaka 2016 REUTERS/Stringer

Baada ya kutia saini mkataba mpya wa amani kati ya wawakilishi wa Sudan Kusini na waasi, mkataba huo ulivunjika saa chache baada ya kuanza kutekelezwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Nini hatima ya mzozo wa Sudan Kusini ?