Jua Haki Zako

Haki na mwongozo wa huduma za mawasiliano Tanzania

Sauti 10:04
Logo ya kampuni ya mawasiliano ya China
Logo ya kampuni ya mawasiliano ya China REUTERS/Denis Balibouse/Files

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia mwongozo uliotolewa na mamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania kuhusu huduma na bidhaa za mawasiliano, haki kwa watumiaji na wajibu wa mtoa huduma.