Jua Haki Zako

Dhulma za kijinsia dhidi ya wanawake Mombasa pwani ya Kenya

Sauti 09:52
Mji wa Mombasa pwani ya Kenya
Mji wa Mombasa pwani ya Kenya Sandro Senn/wikimedia.org

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia madhila yanayowakuta wanawake pwani ya Kenya kwenye mji wa Mombasa ambako vitendo vya ukatili wa kijinsia vimeendelea kukithiri na sasa wanaharakati wanatoa elimu kwa jamii juu ya madhara ya vitendo hivi.