Habari RFI-Ki

Tamasha la tano la kuhimiza amani lafanyika Mjini Goma nchini DRC

Sauti 09:56
Wananchi wa DRC wakihudhuria tamasha la amani lililofanyika Goma, Februari 12 mwaka 2016.
Wananchi wa DRC wakihudhuria tamasha la amani lililofanyika Goma, Februari 12 mwaka 2016. Festival Amani

Tamasha la tano la kuhimiza amani linafanyika Goma, Mashariki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC.Mwandishi wetu, Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ambao wametoa maoni yao kuhusu tamasha hilo.