Jua Haki Zako

Changamoto za kupata haki kwa wanawake wanaofanya biashara mipakani

Sauti 10:53
Mwanamke akifanya manunuzi siku chache kabla siku ya kimataifa ya wanawake
Mwanamke akifanya manunuzi siku chache kabla siku ya kimataifa ya wanawake REUTERS/Sergei Karpukhin

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia changamoto za kupata haki kwa wanawake wanaofanya biashara kwenye maeneo ya mipakani kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.