Jua Haki Zako

Ni jukumu la nani kuhudumia familia

Imechapishwa:

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia masuala ya familia, haki na wajibu wa matunzo ya familia yako kwa nani? Je ni baba ndiye anayepaswa kuwajibika au mama? Ungana na mtayarishaji wa makala haya kufahamu zaidi.

Watoto ambao wamepoteza wazazi wao nchini Somalia wakiwa kwenye kambi ya wakimbizi
Watoto ambao wamepoteza wazazi wao nchini Somalia wakiwa kwenye kambi ya wakimbizi REUTERS/Feisal Omar
Vipindi vingine