Habari RFI-Ki

RWANDA-DINI-USALAMA

Sauti 09:31
Kigali, Rwanda.
Kigali, Rwanda. Getty/Peter Stuckings

Serikali ya Rwanda imetangaza uamuzi wa kuyafunga makanisa zaidi ya 700 na msikiti katika Mji wa Kigali kwa kukosa kutimiza masharti ya usalama na usafi.Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao kuhusu hatua iliyochukuliwa na serikali ya Rwanda.