Mfaransa anayecheza ngoma za kitamaduni nchini Tanzania

Sauti 20:11
Gerard Bruno (Kushoto)  mwanamuziki wa Ufaransa anayeishi nchini Tanzania, akihojiwa na Mwandishi wa RFI Ali Bilal studio
Gerard Bruno (Kushoto) mwanamuziki wa Ufaransa anayeishi nchini Tanzania, akihojiwa na Mwandishi wa RFI Ali Bilal studio rfi/Ali Bilal

Gerrard Joseph Bruno ni raia wa Ufaransa anayeishi nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 30. Ni mwanamuziki wa nyimbo za asili anayezumza lugha ya Kiswahili. Je, alifanikiwa vipi ?