Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Kwanini rais wa Uganda Yoweri Museveni alimfuta kazi Inspekta wa Polisi ?

Sauti 13:42
Kale Kayihura aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Uganda
Kale Kayihura aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Uganda Wikipedia
Na: Victor Melkizedeck Abuso

Wiki hii, rais wa Uganda Yoweri Museveni, alimfuta kazi Waziri wa usalama Henry Tumukunde na Inspekta Mkuu wa Polisi Jenerali Kale Kayihura.Uamuzi huu wa rais Museveni haukutarajiwa. Kujadili hili tunaugana na Dokta Kizza Besigye, kiongozi wa upinzani nchini Uganda ambaye amekuwa akiwania urais tangu mwaka 2001, lakini pia Kenneth Lukwago mchambuzi wa siasa za Uganda.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.