Habari RFI-Ki

Ndoa za utotoni bado changamoto Afrika Mashariki

Sauti 10:13
Nembo ya UNICEF katika moja ya jengo  mjini Geneva November 17, 2009.
Nembo ya UNICEF katika moja ya jengo mjini Geneva November 17, 2009. REUTERS/Denis Balibouse

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu ripoti ya UNICEF ya mimba za utotoni ambapo licha ya kupungua katika maeneo mengine dunuani Afrika Mashariki bado ni changamoto.Karibu