Habari RFI-Ki

Mamlaka Mjini Kigali yakataza adhana misikitini kwa madai inasababisha kelele

Sauti 09:35
Kigali, Rwanda.
Kigali, Rwanda. Getty/Peter Stuckings

Mamlaka katika Mji wa Kigali imekataza kutumiwa kwa adhana (mwito kwa waislamu kufanya ibada) kwa sababu ya kelele. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao.