Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Mgogosi;Nakomaa na Muziki unitoe kimaisha

Sauti 20:17
Gitaa aina ya Garatoni hukutumika na wasanii wakati wakiimba akapela
Gitaa aina ya Garatoni hukutumika na wasanii wakati wakiimba akapela Frank Mgogosi/Picha
Na: RFI
Dakika 21

Mwanamuziki Chipukizi Ernest Mgogosi amejikuta akiingia kwenye Muziki baada ya kukutana vikwazo wakati akisoma Chuo cha Sanaa ili kuwa Muigizaji Mkubwa.Mtayarishaji wa Makala ya Nyumba ya Sanaa Steven Mumbi amezungumza na Frank Ernest Mgogosi kuangazia safari yake ya kimuziki na namna anavyojipanga kuiteka Hadhira.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.