Jua Haki Zako

Haki na uhuru wa matumizi ya mtandao barani Afrika

Sauti 09:58
Matumizi ya mtandao
Matumizi ya mtandao Image Credit by = http://abr.ai/2erDf7e

Makala ya jua Haki Zako juma hili inaangazia haki ya matumizi ya mtandao barani Afrika baada ya nchi kadhaa za Afrika Mashariki kutangaza sheria mpya za udhibiti wa uchaoishaji wa taarifa kwenye mtandao.