Mwanamitindo kutoka nchini Tanzania na harakati zake za kujikwamua na maisha

Sauti 20:21
Nyerere Internationale Conference Center Dar Es Salaam
Nyerere Internationale Conference Center Dar Es Salaam RFI

Katika Makala haya, Ali Bilali anazungumza na mwanadada anaejihusisha na mitindo ambae amekuwa akipambana kujikwamua kimaisha, ambapo shughuli zake anaendesha katika majengo ya kituo cha kimataifa cha mikutano cha Nyerere Internationale Conference Center. Ambatana naye kufahamu mengi zaidi