Jua Haki Zako

Utekelezwaji wa adhabu ya kifo kidunia

Imechapishwa:

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia utekelezwaji wa adhabu ya kifo kidunia baada ya ripoti ya shirika la kimataifa la Amnesty International kuonesha kuwa nchi nyingi bado zinatekeleza adhabu ya kunyonga.

Upingaji wa adhabu ya kifo
Upingaji wa adhabu ya kifo AFP/Andrey Smirnov