Jua Haki Zako

Wanaharakati wataka msichana aliyehukumiwa kunyongwa Sudan aachiwe huru

Sauti 09:59
Rais wa Sudan Omary al Bashir
Rais wa Sudan Omary al Bashir REUTERS

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia harakati za watetezi wa haki za binadamu na jumuiya ya kimataifa wanaotaka Serikali ya Sudan imuachie huru msichana wa miaka 16 aliyehukumiwa kunyongwa baada ya kumuua aliyekuwa mume wake.