Jua Haki Zako

Haki za raia wa Palestina na Israel katika mzozo unaoendelea

Sauti 10:02
Wananchi wa Kipalestina wakitupiwa mabomu ya kutoa machozi na vikosi vya Israel
Wananchi wa Kipalestina wakitupiwa mabomu ya kutoa machozi na vikosi vya Israel REUTERS/Mohammed Salem

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia mzozo kati ya Palestina na Israel, ziko wapi haki za raia wa pande zote mbili katika mzozo wa kuwania maeneo?