Jua Haki Zako

Sehemu ya pili haki za raia wa Palestina na Israel katika mzozo wa kuwania ardhi

Sauti 09:42
Njia kuu ya kuingia kwenye eneo la Gaza
Njia kuu ya kuingia kwenye eneo la Gaza SAID KHATIB / AFP

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu mzozo kati ya Israel na Palestina, ziko wapi haki za raia wa pande zote mbili?