Jua Haki Zako

Uwepo wa vituo vya siri vya mateso kwenye nchi za Afrika Mashariki

Sauti 10:02
Aliyewahi kuwa mkuu wa jeshi la polisi Uganda Kale Kayihura.
Aliyewahi kuwa mkuu wa jeshi la polisi Uganda Kale Kayihura. Gael GRILHOT / AFP

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia uwepo wa vituo vya siri vya mateso vinavyotumiwa na polisi kwenye nchi za Afrika Mashariki, kuwatesa watuhumiwa wa makosa mbalimbali.