Jua Haki Zako

Siku ya mtoto wa Afrika

Sauti 10:03
Watoto barani Afrika wamekuwa wakitumikishwa kwenye vita.
Watoto barani Afrika wamekuwa wakitumikishwa kwenye vita. REUTERS/Baz Ratner/File Photo

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia siku ya kimataifa ya mtoto wa Afrika na madhumuni yake kwa bara hilo.