Jua Haki Zako

Kujitoa kwa Marekani kwenye baraza la tume ya haki za binadamu

Sauti 10:00
Balozi wa Marekani kwenye umoja wa Mataifa, Nikki Haley.
Balozi wa Marekani kwenye umoja wa Mataifa, Nikki Haley. @សហការី

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia hatua ya nchi ya Marekani kutangaza kujitoa kwenye baraza la tume ya haki za binadamu ya umoja wa Mataifa.