Pata taarifa kuu
Siha Njema

Fistula inatibika jamii yatakiwa kuwasaidia waathirika

Sauti 08:56
Baadhi ya akina mama wenye matatizo Ya Fistula
Baadhi ya akina mama wenye matatizo Ya Fistula Ebby Shaaban, RFI

Jamii imetakiwa kuwasaidia waathirika wa fistula badala ya kuwabagua na kuwanyanyasa.Tatizo la Fistula linatibika kwa nchini Tanzania matibabu hutolewa bure katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam..fuatilia zaidi makala haya.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.