Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Umoja wa Mataifa walishtumu kundi la Imbonerakure nchini Burundi kuwauwa wapinzani

Sauti 09:06
Vijana wa chama tawala cha Cndd-Fdd Imbonerakure,  wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya wapinzani wakati wa kura ya maoni
Vijana wa chama tawala cha Cndd-Fdd Imbonerakure, wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya wapinzani wakati wa kura ya maoni Desire Nimubona/IRIN/www.irinnews.org
Na: Victor Melkizedeck Abuso
Dakika 10

Tume ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa, imelishtumu (Imbonerakure), kundi la vijana ndani ya chama tawala nchini Burundi CNDD FDD, kuhusika katika visa vya ukiukwaji wa haki za binadamu kama mauaji, utekaji na kuwatesa wapinzani wakati wa kipindi cha kampeni ya kura ya maoni mwezi Mei. Serikali ya Burundi imekuwa ikikanusha ripoti kama hizi na kusema ni za uongo. 

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.