Jua Haki Zako

Janga la wahamiaji duniani, haki zao na wajibu wa nchi wanakokimbilia

Sauti 10:06
Wahamiaji na wakimbizi wamekuwa wakifanya safari za hatari baharini kujaribu kuingia Ulaya
Wahamiaji na wakimbizi wamekuwa wakifanya safari za hatari baharini kujaribu kuingia Ulaya REUTERS/Jon Nazca

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia haki za wahamiaji na wakimbizi pamoja na wajibu wa nchi ambako wanakimbilia kuomba hifadhi/