Mkataba wa kusitisha vita nchini Sudan Kusini wakiukwa tena

Sauti 14:53
Rais wa Sudan Kusini  Salva Kiir (Kulia) akisalimiana na mpinzani wake katika mkutano wa amanai Juni 21 jijini Khartoun nchini Sudan
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir (Kulia) akisalimiana na mpinzani wake katika mkutano wa amanai Juni 21 jijini Khartoun nchini Sudan Presidential Press Service/Handout via REUTERS

Mkataba wa kusitisha vita kabisa nchini  Sudan Kusini, uliotiwa saini na rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar, umevunjika. Wamajeshi  wanawalaumu waasi, huku waasi wakisema jeshi lilishambulia ngome zao. Nini hatima ya mkataba huu ?