Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

DRC;Tume ya haki za binadamu UN iliharakisha uchunguzi

Sauti 10:06
Jimbo la Kasai nchini DRC limeshuhudia mauaji ya kikatili katika kipindi cha mwaka 2016-2017
Jimbo la Kasai nchini DRC limeshuhudia mauaji ya kikatili katika kipindi cha mwaka 2016-2017 AFP/File
Na: Martha Saranga Amini

Serikali ya DRC imesema ripoti ya Tume ya haki za binadamu ya Umoja wa mataifa iliharakisha kuchunguza na kutoa ripoti juu ya mauaji ya jimboni Kasai yaliyotokea kati ya mwaka 2016hadi 2017.Tume hiyo ilisema inasikitishwa kwamba serikali ya DRC haifanyi chochote kuhusiana na mauaji ya jimboni Kasai.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.