Jua Haki Zako

Haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Sauti 09:21
Wanajeshi wa Serikali ya DRC.
Wanajeshi wa Serikali ya DRC. Reuters

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia kuhusu ripoti ya umoja wa Mataifa katika haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.