Nyumba ya Sanaa

Abdul Kingo;Uchoraji wa Vibonzo umebadili Maisha ya Watawala.

Sauti 18:41
Kibonzo Kinachozungumzia Utawala Bora
Kibonzo Kinachozungumzia Utawala Bora Abdul Kingo/The Guardian

Uchoraji wa Vibonzo umekua na umuhimu katika kufikisha ujumbe kwa njia ya Mchoro unaowaelezea wahusika kwa njia ya Mafumbo.Steven Mumbi amezungumza na Mchoraji wa Vibonzo Abdul Kingo, katika Makala ya Nyumba ya Sanaa kuangazia umuhimu wa Sanaa hiyo na Faida yake kwa jamii.