Jua Haki Zako

Kupatana kwa nchi za Ethiopia na Eritrea je kuleta uheshimuji wa haki za binadamu

Imechapishwa:

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia makubaliano na mapatano yaliyofikiwa kati ya viongozi wa Ethiopia na Eritrea ambapo wametangaza kusitisha vita baina ya nchi zao mbili na kurejesha uhusiano wa kawaida.swali ni je kutaleta ahueni ya haki za binadamu kwa wananchi wa mataifa yote mawili?

Waziri mkuu wa Ethiopian Abiy Ahmed akiwa na mwenzake wa Eritrea Isaias Afwerki
Waziri mkuu wa Ethiopian Abiy Ahmed akiwa na mwenzake wa Eritrea Isaias Afwerki Twitter/Yemane G. Meskel