Habari RFI-Ki

Jeshi la Polisi Tanzania lataka madereva kuwasilisha vyeti vya kusomea fani hiyo

Sauti 09:42
Picha ikionyesha tukio la ajali lilitokea leo Mkoani Mbeya, Kusini Magharibi mwa Tanzania
Picha ikionyesha tukio la ajali lilitokea leo Mkoani Mbeya, Kusini Magharibi mwa Tanzania Mwananchi

Jeshi la Polisi nchini Tanzania kupitia kitengo cha usalama barabarani limewataka madereva wote kuwasilisha nyaraka za vyeti vya fani hiyo na kusisitiza Agosti moja litaanzisha msako wa nchi nzima kwa madereva wasio na vyeti. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu.