Habari RFI-Ki

Nafasi ya vijana katika mapambano ya rushwa na ufisadi

Sauti 10:04
Rushwa inatajwa kuathiri maendeleo ya mataifa mengi duniani
Rushwa inatajwa kuathiri maendeleo ya mataifa mengi duniani

Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa vijana kujihusisha na vita dhidi ya ufisadi na rushwa. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao kuhusu nafasi ya vijana katika mapambano hayo.