Machafuko ya kisiasa na kukamatwa kwa wapinzani Uganda

Sauti 12:08
Maandamano yalivyokuwa jijini Kampala Agosti 20 2018, wakati wa kushinikiza kuachiliwa huru kwa  Robert Kyagulanyi mbunge wa upinzani anayezuiwa na jeshi
Maandamano yalivyokuwa jijini Kampala Agosti 20 2018, wakati wa kushinikiza kuachiliwa huru kwa Robert Kyagulanyi mbunge wa upinzani anayezuiwa na jeshi STRINGER / AFP

Tunaangazia kinachotokea nchini Uganda baada ya kukamatwa na kupigwa kwa wanasiasa wa upinzani wakiongozwa na Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, baada ya machafuko ya kisiasa wiki moja iliyopita mjini Arua, Kaskazini mwa nchi hiyo wakati msafara wa rais Yoweri Museveni ulivyoshambuliwa.