Nyumba ya Sanaa

Nyahoga;Ubunifu wa Mavazi umenifanya niheshimike

Sauti 20:28
Agnes Nyahoga (Mwenye nwele fupi)akijadili na mwenzake kuhusu Ubunifu jijini Dar es salaam
Agnes Nyahoga (Mwenye nwele fupi)akijadili na mwenzake kuhusu Ubunifu jijini Dar es salaam Nyahoga/Mbunifu Mavazi

Mbunifu wa Mavazi Agnes Nyahoga anajivunia kuwa Mbunifu baada ya kufanya kazi ya kuuza chakula bila mafanikio na kuamua kufanya kazi Hotelini,akashawishika kujifunza ubunifu .Ungana na Mtayarishaji wa Makala ya Nyumba ya Sanaa Steven Mumbi kuhusu safari yake ya Ubunifu,na namna alivyofanikiwa kuifikia ndoto yake.