Habari RFI-Ki

Vita vya ufisadi nchini Kenya vitafanikiwa ?

Sauti 10:14
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta REUTERS/Thomas Mukoya

Kenya inafanikiwa katika vita dhidi ya ufisadi ? Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo Bi.Philomena Mwilu ni miongoni mwa viongozi wa juu waliokamatwa na kufikishwa Mahakamani kwa madai ya ufisadi. Rais Uhuru Kenyatta ameapa kupambana na janga hili katika kipindi chake cha mwisho cha uongozi wake. Unafikiri Kenya itafanikiwa katika vita hivi ?