Nyumba ya Sanaa

Mbanaye Bendi ya Malawi wamepania Kuutangaza Muziki wa Asili

Sauti 20:50
Mbanaye Bendi kutoka Malawi wakifanya Mazoezi kabla ya Tamasha la Sauti za Busara
Mbanaye Bendi kutoka Malawi wakifanya Mazoezi kabla ya Tamasha la Sauti za Busara Mbanaye Band/Sauti za Busara

Walianza kikiwa ni kikundi cha vijana wanane baadae ikawa bendi kamili na kusheheni muziki wa Makabila mbalimbali kutoka nchini Malawi.Katika Makala ya Nyumba ya sanaa, Steven Mumbi anazungumza na mmoja wa wasanii wa Bendi hiyo Gilbert Simchoba kuzungumzia safari ya Benki hiyo yenye miaka minne sasa.