Nyumba ya Sanaa

Khadija Kopa;Nakubalika zaidi nikiimba Taarab za Mipasho

Sauti 20:04
Khadija Kopa
Khadija Kopa Mumbi/Tamasha

Muziki wa Taarabu ulianza kushamiri Miaka ya 1990 nchini Tanzania na Miongoni mwa Waanzilishi wa Bendi ya Tanzania One Theatre TOT ni Khadija Omari Kopa.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Khadija Omary Kopa katika sehemu ya kwanza ya makala hayo.