Habari RFI-Ki

Changamoto za Udhibiti wa ajali za majini waangaziwa baada ya ajali ziwani Victoria Tanzania

Sauti 10:20
Uokozi katika Ziwa Victoria, katika Kisiwa cha Ukerewe
Uokozi katika Ziwa Victoria, katika Kisiwa cha Ukerewe REUTERS/Stringer

Kivuko cha MV Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake kutoka Bugorola kwenda Ukara Mwanza nchini Tanzania kilizama Septemba 20 kikiwa na zaidi ya watu 250 na kufikia leo juhudi za uokozi zimefanikiwa kuokoa watu 41 na kuopoa miili 227.