Serikali za Afrika Mashariki na Kati zinachukua hatua gani kukabiliana na visa vya raia wake kushambuliwa katika mataifa ya Arabuni?

Sauti 10:02
Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati yamelalama raia wake kushambuliwa katika mataifa ya Arabuni
Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati yamelalama raia wake kushambuliwa katika mataifa ya Arabuni Encyclopedia Britannica

Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati miezi ya karibuni yameripoti visa vya raia wake kushambuliwa na hata kuuliwa katika mataifa ya Asia.Serikali za Afrika Mashariki na Kati zinachukua hatua zipi kulinda raia wake wanaokwenda kutafuta ajira barani Asia.Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni.