Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kusuasua kwa mkakati wa kusaka amani nchini Burundi

Sauti 10:07
Rais wa zamani wa Tanzania na mwezeshaji wa mazungumzo ya kusaka amani ya Burundi, Benjamin Mkapa.
Rais wa zamani wa Tanzania na mwezeshaji wa mazungumzo ya kusaka amani ya Burundi, Benjamin Mkapa. UN Photo/JC McIlwaine
Na: RFI

Awamu ya tano ya mazungumzo ya kusaka amani ya Burundi imetamatika huko Arusha nchini Tanzania huku serikali ikisusia mazungumzo hayo. Mwezeshaji wa mazungumzo hayo na rais Mstaafu wa tanzania, Benjamin Mkapa amearifu kuwa atapeleka mapendekezo ya wanasiasa  wa upinzani kwa wakuu wa Jumuiya ya Afrika mashariki. Je Mapendekezo ya wanasiasa wa upinzani yatakuwa na tija ikiwa serikali ilisusia mazungumzo hayo. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.