Sudani Kusini kusherehekea Mkataba wa amani huku raia wake wakikabiliwa na changamoto lukuki

Sauti 09:52
Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini akiwa na Kiongozi wa waasi Riek Machar.
Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini akiwa na Kiongozi wa waasi Riek Machar. YONAS TADESSE / AFP

Nchi ya Sudani Kusini kesho itafanya sherehe ya kutiwa saini kwa makubaliano ya amani ambayo lengo lake ni kuthitisha vita. Hata hivyo hafla hii inakuja hguku taifa hilo changa duniani likikabiliwa na changamoto lukuki zikiwemo za usalama, ukosefu wa chakulam mauaji n.k. Fredrick Nwaka ameandaa makala ya Habari Rafiki kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu