Nyumba ya Sanaa

Fred Halla;Kutofanikiwa kwa Wachoraji kumechangia Sanaa hii Kudorora

Sauti 19:57
Watoto wakifundishwa Uchoraji wa Picha kwa kutumia Rangi za Maji
Watoto wakifundishwa Uchoraji wa Picha kwa kutumia Rangi za Maji Fred Halla/Picha

Mchoraji Fred Halla anasema kama kungekuwepo watu waliofanikiwa katika Sanaa hii ingekuwa rahisi wazazi kuwahamasisha watoto wao kuipenda sanaa na Uchoraji,hali ilivyo sasa Uchoraji imekua ni sanaa ya ziada licha ya vipaji kuwepo.Ungana na Steven Mumbi katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Mchoraji Fred Halla.