Eritrea yaondolewa vikwazo na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

Sauti 10:17
Rais wa Eritrea Isias Afwerk (kulia) akiwa na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed
Rais wa Eritrea Isias Afwerk (kulia) akiwa na Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed BBC.COM

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeondolea vikwazo taifa la Eritrea ambavyo vilikuwa vimedumu kwa karibu muongo mmoja. Vikwazo hivyo zilihusisha marufuku ya ununuzi wa silaha na mengineyo. Je uamuzi wa UN una maana gani katika kuleta utulivu katika eneo la pembe ya Afrika, Fredrick Nwaka amekuandalia makala ya Habari Rafiki kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu