Jua Haki Zako

Raia wa Afrika mashariki wako huru kufanya shughuli za kiuchumi katika nchi wanachama?

Imechapishwa:

Raia wa Afrika Mashariki wako huru kufanya bioashara na shughuli nyingine za kiuchumi na kijamii katika nchi wanachama za Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani Kusini. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya

Ramani ikionyesha mataifa yanayounda Umoja wa Afrika mashariki
Ramani ikionyesha mataifa yanayounda Umoja wa Afrika mashariki RFI