Nyumba ya Sanaa

Ras Innocent Nganyagwa; Narudi Upya Kimuziki

Sauti 20:04
Ras Inno akiwa Jukwaani kutumbuiza katika moja ya Maonesho ya Muziki wa Reggae
Ras Inno akiwa Jukwaani kutumbuiza katika moja ya Maonesho ya Muziki wa Reggae Ras Inno/Picha

Muziki wa Reggae Afrika ulianza kushamiri baada ya Uhuru wa Zimbabwe Mwaka 1980, Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizokuwa za mwanzo kupata mapokeo ya Muziki huo.Ras Innocent Nganyagwa ni Miongoni mwa wanamuziki waliochipuka katika kizazi cha tatu cha Muziki huo kutoka Tanzania, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumzia na Ras Inno kuhusu ujio Wake Mpya katika Sanaa hiyo.