Waigizaji DRC walalamikia kutonufaika na Kazi zao

Sauti 20:03
Goma,DRC
Goma,DRC RFI/Leonora Baumann

Waigizaji nchini DRC wanatamani Sanaa yao kufika Mbali,Miongoni mwa vikwazo wanavyokabiliana navyo ni pamoja na Uchanga wa teknolojia ikiwa ni pamoja na vifaa duni, Elimu ya Uigizaji ni suala lingine linalowarudisha nyuma.Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Kapangala Mukunda Edo Muigizaji, Mtayarishaji wa Filamu nchini DRC kutoka Goma katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa.