Nyumba ya Sanaa

Vijana Wajitoa kufanya Saana ya Muziki Sanifu

Sauti 19:55
Vijana nchini humo wanajitolea kufanya kazi mbalimbali
Vijana nchini humo wanajitolea kufanya kazi mbalimbali Vijana Tanzania

Sanaa ya Muziki Sanifu ni uimbaji unafanyika pasipoo kutumia vyombo vya muziki wa ala, Mpangilio wa sauti kwa waimbaji ndio unasheheneza uzuri na upekee wa Sanaa hii.Kutana na Viujana wa kanisa la Anglikana Vingunguti jijini Dar es salaam,walipozungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wakielezea sanaa hiyo.