Gurudumu la Uchumi

Umuhimu wa kuwa na malengo ya kutumiza katika mwaka mpya 2019

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inajadili kuhusu umuhimu wa kuwa na malengo pale mwaka mpya unapoanza, unatakiwa kufanya nini kutimiza malengo mapya na yale ambayo hukufanikiwa kutumiza katika mwaka uliotangulia? Ungana na mtayarishaji wa makala haya akiwa na Dr Wetengere Kitojo mtaalamu wa masuala ya Diplomasia ya Uchumi.

Fedha ya Ulaya maarufu kama EURO
Fedha ya Ulaya maarufu kama EURO Pixabay