Kuzimwa kwa Internet DRC ni ukiukaji wa haki za binadamu?

Sauti 09:57
DRC:Mamlaka nchini DRC yafunga mitambo ya RFI na kusitisha kibali cha ripota wake, 03/01/2019.
DRC:Mamlaka nchini DRC yafunga mitambo ya RFI na kusitisha kibali cha ripota wake, 03/01/2019. RFI-KISWAHILI

Makala ya Jua Haki Zako juma hili inaangazia hatua ya kuzimwa kwa huduma ya mtandao {Internet} nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, je kitendo kilichofanywa na Serikali kinakiuka haki za binadamu? Ungana na mtayarishaji wa makala haya pamoja na wakili Ojwan'g Agina.