Muziki wa Reggae utafika mbali kama Wasanii wataamka

Sauti 19:54
Mwanamuziki Sixmond Mdeka
Mwanamuziki Sixmond Mdeka Picha/Steven Mumbi

Sixmond Mdeka Maarufu Ras Six alianza na kibao Sina Pamba kilifanya vizuri mwanzoni mwa miaka ya 2000 sasa amedhamiria kuufanya muziki wa Regae katika sura ya kisasa kuwafikia vijana zaidi kupitia Bendi yake.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Ras Six.