Belamy;Natarajia kushirikiana na Diamond katika Nyimbo zangu siku zijazo

Sauti 20:01
Msanii wa Muziki kutoka Goma nchini DRC
Msanii wa Muziki kutoka Goma nchini DRC Belamy Paluku

Sanaa ya Muziki inaendelea kukua kila kukicha nchini DRC, Katika Mji wa Goma sanaa hii inasonga mbele licha ya changamoto zilizopo, anatarajia kushirikiana na wasanii wa nchi za Kenya na Tanzania katika nyimbo zake.Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Belamy Paluku katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.